Msaada Dawa ya kuzuia kujampa

Dah... mke wa jamaa kaamua kuunga mkono juhudi za Amba Ruti mchana kweupe. Afu jamaa lilivyo zembe hata halijastuka..
 
inaonesha we ni mzee wa kupenda tope aka mbolea aka tigo-express yourself
acha uo mchezo mchafu mara moja!
 
Dah... mke wa jamaa kaamua kuunga mkono juhudi za Amba Ruti mchana kweupe. Afu jamaa lilivyo zembe hata halijastuka..
Unajua kuna vitu vingine mtu unapaswa uwe na HEKIMA na BUSARA, mkeo unatakiwa umstiri heshima yake hata kama hatumjui, huwezi kumvua nguo hadharani kama hivi JF, una paswa hata kutumia mtoto/mdogo kufikisha maswali yako badala ya mke.[emoji53]
 
Mkuu SAMAHANI kwanza simaanish kwa ubaya, kuna mchezo wowo mbaya unamfanyia au huko alikutoka au amejifungua hivi karibuni?
 
Ale tangawizi..na thoum achanganyie maziwa au asali!
asubuhi maji vuvugu glas moja kabla ya kula kitu...
 
Yan story yako wife wangu akiiona anaweza sema mimi ndo nmepost huu uzi.
Ila sema yeye vyake havinuk lakin anaachia mabombastic anytime anywhere unaweza sema bom😂😂😂
 
Mkuu atumie kitunguu maji wakati wa kulala tatizo litaisha.
 
Mpaka kufikia October 25 , 2020 Term ya kwanza kuisha ya JIWE ,Ma Dr Shika watazidi kuongezeka!!! Hata Kisando Masqo alianza hivi hivi kuandika vitu visivyoeleweka Facebook kumbe Dish lilikuwa lishayumba!
 
Tatizo umemu amber ruty tayari hana tena marinda, Konki konki konki master
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…