Msaada Dawa ya kuzuia kujampa

Mkuu hali ni mbaya sana inafika kpnd had nguo zinanuka harufu mbaya
Huo utakuwa ugonnjwa ndugu, mpeleke hospitali. Lkn kwa kuanzia awe anakula vitunguu swaumu vilivyochanganywa na asali. Menye vitungu swaumu vingi, weka kwenye chombo chenye mfuniko wa kufunga kisha jaza asali. Awe anakula vipunje vitatu na vijiko vidogo vya asali vitatu asubuhi kabla ya kula kitu chochote. Na asubiri nusu saa hadi saa nzima kabla ya kula kitu. Baada ya mwezi mmoja utaona matokeo. Na anaweza kuendelea kutumia hivyo kwa muda mrefu zaidi.

Vitungu swaumu vikae kwenye asali kwa siku angalau 5 kabla hajaanza kutumia, hii inasaidia kupunguza ukali na harifu ya kitunguu.
 
Ahhhhhaa wee jamaaa [emoji39][emoji23][emoji23]
 
Ahahahahhahhahahhhh aseee pole mkuu, Ila sema nini mpeleke hospital akapime minyoo Amiba na typhoid smtmz huchangia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamani we mleta Uzi umenifanya nicheke
 
Boresha menyu ya chakula hapo nyumbani,ale vitu fresh;matunda,juisi n.k asile viporo kwa siku weka bajeti ya 50,000/= hilo tatizo litaisha,lasivyo ukiendelea kumlisha maharage,vipolo n,k hilo tatizo haliishi.
 
Anapenda sana kipolo cha wali maharage yaan haipit siku 2 bila kula kipolo.
 
Ahahahahhahhahahhhh aseee pole mkuu, Ila sema nini mpeleke hospital akapime minyoo Amiba na typhoid smtmz huchangia
Sawa mkuu. Maana hali ni mbaya sana, Had oficin kwao wananifikiria vibaya maana na huko ni kujamba kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…