Kuna dawa ya kiarabu inaitwaje Zeytun,ni ya maji, fuata maelekezo, zinauzwa kwenye maduka ya dawa za kiarabu. Hakika atapona.Mimi npo na mke wng kwa zaid ya miaka 3. Mwanzo alikua hana tabia ya kujampa sana. Lakn toka mwaka huu uanze amekua akijampa sana co mchana wala ucku. Anajampa kila mda na kila mahali. Yaan anavitoa vya sauti na vile vya kimya kimya yaan Yusufu.Tatzo n vinanuka sana yaaan ni tabu sana.
Hapo cha kufanya ni kutegeshea ajambe, na wewe unaachia yusufu zako zinazo nuka hatari halafu unamsingizia mkeo maana ndio tabia yake.Mimi npo na mke wng kwa zaid ya miaka 3. Mwanzo alikua hana tabia ya kujampa sana. Lakn toka mwaka huu uanze amekua akijampa sana co mchana wala ucku. Anajampa kila mda na kila mahali. Yaan anavitoa vya sauti na vile vya kimya kimya yaan Yusufu.Tatzo n vinanuka sana yaaan ni tabu sana.
Punguzeni kula kula maharage aiseeYote sawa