Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 275
makubwa. mia
pole sana. mia
kujaliwa hips??mia
Hebu weka picha mkuu!Wakuu habar, Kwa kawaida wanawake ndio wamejaliwa kuwa na hips pana!
Siku hiz tunaona baadhi ya wanaume wana hips pana.
Je kuna dawa au mazoezi spesho kwa ajili ya kupunguza hips kwa mwanaume aliyejaaliwa hips?
Hebu weka picha mkuu!
Piga tiz kwa sana hasa la kukimbia mliman au kichura chura. Afta wiki kadhaa k2 kitakua ktk mfumo mzur
Wavivu sana watu wa aina hii.Hongera yake.
Naunga mkono maoni yako
Hebu weka picha mkuu!
Piga tiz kwa sana hasa la kukimbia mliman au kichura chura. Afta wiki kadhaa k2 kitakua ktk mfumo mzur