mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
Pole n sorry i meant to say tinnitusSinutis ni inflammation of sinuses kwenye pua na kwa kawaida Mgonjwa anakuwa na mafua makali, acha kuchanganya mambo
Pole n sorry i meant to say tinnitusSinutis ni inflammation of sinuses kwenye pua na kwa kawaida Mgonjwa anakuwa na mafua makali, acha kuchanganya mambo
Kweli kabisa hiyo ni sawa ya sikio hats like linalotoa usaa. Lakini kwa kelele zinazotokana na ulevi haitamsaidia, aende tu akazimue, kelele zitaisha. Ila aache ulevi.Usinywe weka sikioni