Msaada dawa ya kukata bleed

Msaada dawa ya kukata bleed

nellwan

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2016
Posts
378
Reaction score
682
Habari JF doctors.
Mwezi uliopita tarehe 28 nilichoma sindano ya uzazi wa mpango kwa mara ya kwanza.Kinachonishangaza huwa naenda bleed kwa siku 4 ila mwezi huu nimeanzaa kubleed tarehe 13 mpaka leo bado nina bleed.
Nimeshindwa kuelewa sababu ni sindano niliyochoma au tatizo ni nini?
Naomba msaada dawa nitakayotumia kukata bleed.
Nawasilisha.
 
usiwe na hofu itakata yenyewe mara nyingi kama ni mara ya kwanza kutumia hiyo njia unaweza kubleed ata siku 15 afu inapotea mazima
 
Damu uwa inakatwa na ndimu au limao,tumia kati ya hvyo vitu viwili
 
Habari JF doctors.
Mwezi uliopita tarehe 28 nilichoma sindano ya uzazi wa mpango kwa mara ya kwanza.Kinachonishangaza huwa naenda bleed kwa siku 4 ila mwezi huu nimeanzaa kubleed tarehe 13 mpaka leo bado nina bleed.
Nimeshindwa kuelewa sababu ni sindano niliyochoma au tatizo ni nini?
Naomba msaada dawa nitakayotumia kukata bleed.
Nawasilisha.
nellwan pole sana acha kutumia vidonge madhara yake ni makubwa kuliko risasi
 
Nijuavyo mm, unashauriwa kula vidonge vya uzazi kwa siku kama 12 hiv ili kurekebisha siku kisha unaacha hivyo vidonge..Hila jamani haya madude sio mazuri kwa afya Tumia kondomu na kalenda, mweeh!!
 
Hizo ORAL CONTRACEPTIVE PILL (OCP) ulizotumia ndo tatizo!! oral contraceptive pills ni moja ya vitu vinavyodisturb normal menstrual period!! je tumbo linauma?
 
Jamani mimi nasumbuliwa na kiuno wakati wa hedhi.kinauma sana kiasi kwamba siwezi fanya chochote na hutoka mabonge msaada naombeni
 
Naomba unisaidie jina la hiyo dawa, maana wife anasumbuliwa sana na damu hedhi kwa mwezi sasa, na alichoma sindano
Zinaitwa primolute N
full dose vinakua vidonge 30
kila siku kimoja 30days
dose nzima kama 30000/= - 40000/=
 
Back
Top Bottom