Kamgomoli JF-Expert Member May 3, 2018 1,865 3,802 Aug 14, 2019 #1 Wataalamu wenzangu wa mifugo,naomba msaada wa dawa rahsi ya kumfanya paka au mbwa awe sterile( Tasa) bila kufanya operation ya kuondoa ovary.
Wataalamu wenzangu wa mifugo,naomba msaada wa dawa rahsi ya kumfanya paka au mbwa awe sterile( Tasa) bila kufanya operation ya kuondoa ovary.
GODZILLA JF-Expert Member Dec 26, 2014 5,902 10,503 Aug 15, 2019 #3 Tafuta daktari wa wanyama atawahasi hao paka!
Castr JF-Expert Member Apr 5, 2014 31,986 64,022 Aug 15, 2019 #4 Mwambie awaambie wenzake wamwagie nje
Kamgomoli JF-Expert Member May 3, 2018 1,865 3,802 Aug 15, 2019 Thread starter #5 heradius12 said: Mpe kondom Click to expand... Utani huo ndugu!!!
Twilumba JF-Expert Member Dec 5, 2010 11,542 12,404 Aug 15, 2019 #6 Kamgomoli said: Wataalamu wenzangu wa mifugo,naomba msaada wa dawa rahsi ya kumfanya paka au mbwa awe sterile( Tasa) bila kufanya operation ya kuondoa ovary. Click to expand... Yupo bibi mmoja wa kimasai ni jirani yangu aliwahi niambia Blue ile wanawekaga kwenye nguo kuwa inafaa kwa kazi hyo. Unamwekea Paka anakunywa km maji, kwa mbwa sijui aisee... mm ninefanya hvy nasikilizia matokeo!!
Kamgomoli said: Wataalamu wenzangu wa mifugo,naomba msaada wa dawa rahsi ya kumfanya paka au mbwa awe sterile( Tasa) bila kufanya operation ya kuondoa ovary. Click to expand... Yupo bibi mmoja wa kimasai ni jirani yangu aliwahi niambia Blue ile wanawekaga kwenye nguo kuwa inafaa kwa kazi hyo. Unamwekea Paka anakunywa km maji, kwa mbwa sijui aisee... mm ninefanya hvy nasikilizia matokeo!!
dronedrake JF-Expert Member Dec 25, 2013 23,220 54,876 Aug 15, 2019 #7 Castr said: Mwambie awaambie wenzake wamwagie nje Click to expand... π π π π π π
Kamgomoli JF-Expert Member May 3, 2018 1,865 3,802 Aug 15, 2019 Thread starter #8 Hiyo ya blue nmeisikia ,ila baada ya kujiongeza nmegundua hiyo blue ni carcinogenic inaenda kusabababisha cancer kwenye nyumba ya kizazi ndio maana paka anakua hazai.Hivyo kuna risk ukitumia. Twilumba said: Yupo bibi mmoja wa kimasai ni jirani yangu aliwahi niambia Blue ile wanawekaga kwenye nguo kuwa inafaa kwa kazi hyo. Unamwekea Paka anakunywa km maji, kwa mbwa sijui aisee... mm ninefanya hvy nasikilizia matokeo!! Click to expand...
Hiyo ya blue nmeisikia ,ila baada ya kujiongeza nmegundua hiyo blue ni carcinogenic inaenda kusabababisha cancer kwenye nyumba ya kizazi ndio maana paka anakua hazai.Hivyo kuna risk ukitumia. Twilumba said: Yupo bibi mmoja wa kimasai ni jirani yangu aliwahi niambia Blue ile wanawekaga kwenye nguo kuwa inafaa kwa kazi hyo. Unamwekea Paka anakunywa km maji, kwa mbwa sijui aisee... mm ninefanya hvy nasikilizia matokeo!! Click to expand...