Yupo bibi mmoja wa kimasai ni jirani yangu aliwahi niambia Blue ile wanawekaga kwenye nguo kuwa inafaa kwa kazi hyo.Wataalamu wenzangu wa mifugo,naomba msaada wa dawa rahsi ya kumfanya paka au mbwa awe sterile( Tasa) bila kufanya operation ya kuondoa ovary.
😂 😂 😂 😂 😂 😂Mwambie awaambie wenzake wamwagie nje
Yupo bibi mmoja wa kimasai ni jirani yangu aliwahi niambia Blue ile wanawekaga kwenye nguo kuwa inafaa kwa kazi hyo.
Unamwekea Paka anakunywa km maji, kwa mbwa sijui aisee... mm ninefanya hvy nasikilizia matokeo!!