juakal
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 587
- 125
There is no anyone in university which you study who can given help.
even your lecture, then you looking us who have low knowledge about that.
shame on you
Mkuu anayeomba msaada pamoja na great thinkers tulio wengi humu jamvini tunaielewa vizuri lugha ya taifa kwa nini usimjibu kwa lugha ambayo unailewa vizuri kuliko kujidhalilisha kwa kutumia lugha ambayo hakika inakupiga chenga!!!!!!.
Hahaaaaa nimecheka sana kwakweli. Alafu eti shame on you, hahaaaaa