Dogo sijabisha kuwa kuna companies zinatoa statistical support but iko kikazi zaidi sio kwa wanafuzi the best you can do to students is to guide them and not to write them their proposal/thesis! Unasema mimi nataka watu wasiendelee? Uko serious kweli mimi na advocate wanafunzi waandike wenyewe thesis zao wewe unasema nataka wasiendelee? Unashauri waandikiwe? Tutafika kweli namna hii? Badili strategy yenu mfocus zaidi kusaidia mambo haya kama kwenye taasisi zinazofanya tafiti mbalimbali ambazo huwa wana-outsource mambo kama haya SIO KWA WANAFUNZI.
Pia hoja yangu haikuwa kwenye statistical support, ni kumuandikia mtu proposal au thesis tena mtu mwenyewe mwanafunzi wa degree, masters au PhD, this is utterly rubbish ni moja wapo ya stage anazotakiwa kupitia yeye mwenyewe.
Ni kweli unaweza kuniajili, tuanzie kwenye kuwarekebishia webpage yenu maana "kiinglish" mlichokitumia pale kuna uwezekano mkubwa kinawapotezea baadhi ya clients so mngeweza kuwa mnaingiza hata 10m easily as is. How can one make one too many typos in a page inayotakiwa kuwa ndio sura ya kampuni? How long have you had the webpage up and running? Didn't you see these mistakes? Plural ya person ni peoples? Au mlitaka tukisoma tujibu powerrrrr! This makes what you write to your clients questionable maana umeshindwa hata kuproof read your page which until now is still killing mbavu zangu 😛op2: