leop
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 550
- 538
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jamn, naomba mnisaidie tufanyeje au shida inaweza kuwa nn. Dada angu anasumbuliwa sana na gesi inatoka tumboni inarudi inapanda kifuani afu inamuunguza mapafu afu anapata vichomi.
Halafu anaweza akacheua hadi chakula. Alienda hosp akaambiwa vidonda vya tumbo na akapewa dawa lakn shida inaondoka na kurudi tena.
Tunaomba msaada jamani kwa mawazo
Halafu anaweza akacheua hadi chakula. Alienda hosp akaambiwa vidonda vya tumbo na akapewa dawa lakn shida inaondoka na kurudi tena.
Tunaomba msaada jamani kwa mawazo