Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,059
- 5,778
Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?
Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....
Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
Hahahahahaah....hivi Watanzania aliyewadanganya kuwa mtu mpaka awe na kiduka anafanya biashara ndo akili ni nani?
Kuna watu wanaingiza pesa ya maana kwa kukaa kwenye desk kuliko wanaobangaiza.
Yani mtu kaanzisha hadi law firm yake lakini sababu hafanyi masuala ya "kufunga mzigo" anaonekana si kitu kwako.
Sielewi tukusaidie vipi ndugu!