Msaada CV ya wakili msomi Fatuma Karume

Msaada CV ya wakili msomi Fatuma Karume

Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?

Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....

Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
INAONYESHA WW NI MTU HUKUPATA ELIMU UNA KINYONGO NA WALIOIPATA. ILA HUTABADILISHA KITU.
 
Watu Wa Jf Mnavituko Mtu Degree Ya Kwanza Kaipata 1992 tena hons,mnamuita "ka" utafikiri mtoto mwenzenu wakati nauhakika huo mwaka hata hamjaanza kusoma kutokana na maandishi yenu,tuwaheshimu wakubwa zetu jamani hata tukiwa nje ya fake id
 
Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?

Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....

Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
Utakufa na roho yako ya korosho
Ila ukweli ni, she is the learned counsel.
 
Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?

Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....

Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
Acha wivu wa kike; in ....... Voice
 
Umepanik ujue
 
JitihadMlinzi mfu, post: 26687804, member: 476380"]Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?

Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....

Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga[/QUOTE]
Rudi class aka vimbweteni.
 
Ndio maana kako nondo kalipewa elimu bora sio bora elimu na udogoni alikula lishe bora na chumvi yenye madini joto
Je kameolewa na kana watoto ?kama kapo humu kajibu na kanatumia mafuta gani kuifanya ngozi yake iwe moroooooooro kama kweny kigodoro!!!
Ni kabibi kale kaone vile , ni maisha mazuri ndio yanakafanya kaonekane kadogo
 
Aliye kudanganya fatuma mpinzani ni nani naona ww hujui huyu dada
 
Kuna hakimu alishawahi kutia shaka kama kana akili timamu, halafu ukikagusa tu jiandae na invoice ya bilioni
 
Ahh haa kwa CV ya huyu dada Tundu Lissu tunaweza kumuita wakili msomi kidogo
 
Kilichomkmbiza Zanzibar kuja bara kugombea TLS ni kuwa Zanzibar kalivuruga hamtambui Dk Shein kama raisi wa Zanzibar Na aliongea Na vyombo vya habari Na kwenye mkutano wa TLS. Nilimpinga aache kutumia bara kushambulia Zanzibar .TLS mumechagua Mkimbizi wa Zanzibar anayetaka kutumia platform yenu ya TLS kushambulia serikali ya Zanzibar
Unajua ni nn nigga... kunywa maji umeze hiyo roho yako mbaya maana inakuketeketa sana kwenye koo.
 
Watu Wa Jf Mnavituko Mtu Degree Ya Kwanza Kaipata 1992 tena hons,mnamuita "ka" utafikiri mtoto mwenzenu wakati nauhakika huo mwaka hata hamjaanza kusoma kutokana na maandishi yenu,tuwaheshimu wakubwa zetu jamani hata tukiwa nje ya fake id
Kuna tabia fulani bongo kwamba ukiwa umesoma sana umewazid watu elimu.. wanatafuta vimaneno vya kukushusha hadhi
 
hii hapa wale tusiomfahamu
IMG_20180730_233705.jpg
 
Attachments

  • IMG_20180730_233705.jpg
    IMG_20180730_233705.jpg
    71.6 KB · Views: 76
Akili zilikuwemo ndani ya MTU kabla ya Elimu, if you are intelligent you are born to be that way
 
Comment yako hii imenifanya nimkumbuke jiwe. Jiwe alipokuwa mtoto alikuwa akishinda porini kuchunga ng'ombe (ndiyo maana ana poor interpersonal skills). Mlo wake ulikuwa maziwa tu (lishe hovyo hii).
Unapata dhambi.
 
Back
Top Bottom