Msaada CV ya wakili msomi Fatuma Karume

Msaada CV ya wakili msomi Fatuma Karume

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,693
Reaction score
21,765
Msaada hapo juu, CV ya mwanadada wakili Fatuma Karume, Nitafurahi zaidi kujua kesi alizowahi kufanya vizuri.
Natanguliza shukrani

======

Fatma Amani Karume
Screenshot from 2018-07-30 23-49-19.png

Brief biography:

Born June 15, 1969 in Tanzania;
Admitted, 1994, Tanzania .

Education:

Middle Temple, Temple, London, Degree of the Utter Bar, 1998
Inns of Court School of Law, Postgraduate Diploma in Professional Legal Skills, 1998
London School of Economics, LL.M, 1997
Universite de Strasbourg, Diplome de Sciences Juridiques, 1991
University of Sussex, LL.B (Hons), 1992

Work experience :

Merger between Karume & Co and IMMMA 2007
Founder of Karume & Co, Advocates 2004
Junior Partner, Mkono & Company, Advocates 2000 until 2003
Pupil, 5 Raymond Building, Gray’s Inn, London 1998
Of the Middle Temple, Barrister since 1998
Associate, Mkono & Company, Advocates, 1996
Advocate, High Court of Zanzibar since 1994
Apprenticed as State Attorney, Attorney General’s Chambers, Zanzibar, 1993
Apprenticed as State Attorney, Attorney General’s Chambers, Dar es Salaam, 1992

Member:

Bar Council of England and Wales
Law Society of Zanzibar
Tanganyika Law Society

Languages:

English, Swahili & French.

Email: karume at immma.co.tz
 
Last edited by a moderator:
EDUCATION

Degree of the Utter Bar, Middle Temple, London, 1998 Postgraduate Diploma in Professional Legal Skills, Inns of Court School of Law, 1998 LLM, London School of Economics, 1997 Diplome de Sciences Juridiques, Universite de Strasbourg, 1991 LLB (Hons), University of Sussex, 1992
 
Ndio maana kako nondo kalipewa elimu bora sio bora elimu na udogoni alikula lishe bora na chumvi yenye madini joto
Je kameolewa na kana watoto ?kama kapo humu kajibu na kanatumia mafuta gani kuifanya ngozi yake iwe moroooooooro kama kweny kigodoro!!!
 
Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?

Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....

Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
 
Mkuu ukipata mawasaliano yake unitag
 
Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?

Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....

Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
Unaweza kuwa na hoja ila punguza jazba uandike kwa utulivu kidogo.
 
Ndio maana kako nondo kalipewa elimu bora sio bora elimu na udogoni alikula lishe bora na chumvi yenye madini joto
Je kameolewa na kana watoto ?kama kapo humu kajibu na kanatumia mafuta gani kuifanya ngozi yake iwe moroooooooro kama kweny kigodoro!!!
Namtaka sana nimuoe
 
Kilichomkmbiza Zanzibar kuja bara kugombea TLS ni kuwa Zanzibar kalivuruga hamtambui Dk Shein kama raisi wa Zanzibar Na aliongea Na vyombo vya habari Na kwenye mkutano wa TLS. Nilimpinga aache kutumia bara kushambulia Zanzibar .TLS mumechagua Mkimbizi wa Zanzibar anayetaka kutumia platform yenu ya TLS kushambulia serikali ya Zanzibar
 
Hivi Dr Shein ndio rais wa Zanzibar?
 
Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?

Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....

Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
Hakika wewe kweli ni mlinzi mfu na hata ubongo wako ni mfu! Acha wivu na hasira kwenye mafanikio ya wengine ili uhariri hiki ulichokiandika kabla wengine hawajaiona akili yako ilivyo nyepesi!
 
Kna mwenye ...kuingia Darasani...alafu sio msomi...
Usomi maana yake nini...
Au ukiwa mpinzani ndo unapanda cheo kuwa msomi?

Acheni basi....nimewachoka...mnsjiita wasomi alafu 23...mnachungulia viposho vya Kunyonywa kwenu...80% unalipwa 20%...
Nataka
Mtamke hivi cv ya mfanyabiashara makini...hii hapa....

Et wakili mdomi...
Upuuzi mtupu na misifa ya kojinga
Hey guy,
plz stop advertising your foolishness.
 
EDUCATION

Degree of the Utter Bar, Middle Temple, London, 1998 Postgraduate Diploma in Professional Legal Skills, Inns of Court School of Law, 1998 LLM, London School of Economics, 1997 Diplome de Sciences Juridiques, Universite de Strasbourg, 1991 LLB (Hons), University of Sussex, 1992
 
Kilichomkmbiza Zanzibar kuja bara kugombea TLS ni kuwa Zanzibar kalivuruga hamtambui Dk Shein kama raisi wa Zanzibar Na aliongea Na vyombo vya habari Na kwenye mkutano wa TLS. Nilimpinga aache kutumia bara kushambulia Zanzibar .TLS mumechagua Mkimbizi wa Zanzibar anayetaka kutumia platform yenu ya TLS kushambulia serikali ya Zanzibar
Wenzio wanataka CV sijui umeandika nini hapa
 
Back
Top Bottom