Raaj JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 205 Reaction score 29 Mar 9, 2015 #1 Tafadhari naombeni msaada nimeshafanikiwa ku-root simu yangu sasa shida imekuja kwenye kupata customrom nimejaribu kusearch kwenye Forum kadhaa lakini nimekosa naombeni msaada wenundugu zangu nitaipata wapi hii custom rom?
Tafadhari naombeni msaada nimeshafanikiwa ku-root simu yangu sasa shida imekuja kwenye kupata customrom nimejaribu kusearch kwenye Forum kadhaa lakini nimekosa naombeni msaada wenundugu zangu nitaipata wapi hii custom rom?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Mar 9, 2015 #2 Hiyo simu ni version ya china hivyo tegemea kukuta website za kichina hizo rom. Nenda website hii CyanogenMod(CM) 4.4.x Tumia google translator chagua whole kote then utaona roma kama 3 hv, ila ni mods za kawaida tu sio za aosp kama cyanogen
Hiyo simu ni version ya china hivyo tegemea kukuta website za kichina hizo rom. Nenda website hii CyanogenMod(CM) 4.4.x Tumia google translator chagua whole kote then utaona roma kama 3 hv, ila ni mods za kawaida tu sio za aosp kama cyanogen
Raaj JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 205 Reaction score 29 Mar 9, 2015 Thread starter #3 Chief-Mkwawa, Asante sana CHIEF MKWAWA FRIENDLY SPEAKING I ADMIRE U. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016