Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
tafadhali mwenye kujua hivyo vitu hapo juu anijuze, nitafurahi pia kama nitapata na mifano hasa hasa ambayo inapatikana hapa hapa bongoland.
credit card ni zile kadi zenyekukuruhusu kulipa gharama yeyote ile kwa njia ya kukopeshwa na hua zina limit.
debit card ni zile ambazo wabongo wengi tunatumia mfano tembo card, zenyewe zinategemea ba balance uliyonayo benki kama huna basi hausaidiwi kitu.
prepaid cards hii ni card ambayo mtumiaji anaweka hela kwenye card kwa matumizi yake mfano card wanazotumia watoto pale quality Center kwakulipia. wenzetu wanazo ambayo inaitwa octopus cards. hii mzazi anaijaza hela kwa matumizi ya mwanae anaesoma kwakulipia usafiri, chakula shuleni,au hata cinema.
kama umejaribu ikakataa basi ujue lazima bank yako ika-enable card yako kutumika on line! jus nenda kwenye Bank yako waeleze then wata-enable ndipo utakua unaweza ku-purchase onlinemkuu, mimi nnayo atm ya exim bank ambayo ni mastercard, nataka kununua kitu ktk ebay ..kila nikilink card yangu na paypal haikubali...., unahisi nn tatizo? ..au hz atm za exim hazisuport hii kitu? ...na km una idea kuhusu card za benk gn zinakubali vizur ktk hii kitu niambie ....plzzz