Wakuuu vip nikianza na Diploma mana nimekuea nikiita sana hii corse.....siko lake la Ajira likoje sio lazima hata serikali hata hospitali binafsi
CC danya Chachasteven @geniusbaraka
Soko la ajira ni kubwa sanaaa kuliko ndo course unique hapa nchini ocean road pale bado hawatoshi so kama ukianza na diploma pouwa tu matokeo yawe yanaruhusu....unapiga diploma ya diagnostic radiography iko pouwa utakapo acha kushika pesa za x rayz hutakumbuka kama kuna degree
CBG NA PCM huwezi somaaa pcm utasomaje anatomy and physiology akati huna biology na cbg utasomaje imaging physics wakati huna physics afu muhimbili hawachukui zaidi ya wanafunzi kumi pale kwenye hiyo course
hivi hii course ya DDR wanapangiwa post na serikali au mpaka utafute mwenyewe kazi
Wanapangiwa na serikali ila tatizo ni kwamba serikali haitoi mshahara wa kutosha hvyo wengi wana amua kukimbia na kutafuta vijiwe
owky,shemeji yako anasoma hio so nilikua hata cjui michongo yake ikoje,kama kazi zipo private kumbe haina haja ya kusubiria post za wizara ya afya.
Mwambie ahudhurie sana idarani ili awe vizuri den una mtafutia kijiwe ana pokea kilo zake tano hadi saba kwa mwezi huku ana soma maisha yanenda vijiwe vingi sana so aende sana department akajifunze hongera aisee
soko lake ni gumu sana maana ni ocean road tu. sijui walioanzisha hii kozi walikuwa na akili gani?Wakuuu vip nikianza na Diploma mana nimekuea nikiita sana hii corse.....siko lake la Ajira likoje sio lazima hata serikali hata hospitali binafsi
CC danya Chachasteven @geniusbaraka
soko lake ni gumu sana maana ni ocean road tu. sijui walioanzisha hii kozi walikuwa na akili gani?
kwanza jua RTT hawajishughulishi na x-ray, ultra sound, ct scan wala MRI wao ni radiotion therapists hawako kwenye diagnosis. wanaotumia hizo mashine wamesoma diploma inaitwa DDR ambayo degree yake Tanzania hamna. hukuelewa swali la mtooa mada.hujui unaloongea wewe,x ray,ultra sound,MRI,CT scan wanafanya ocean road tu?au umekurupuka..?kule ocean road wanatibu kwa kutumia mionzi na sana watu wa radiation therapy ndio wanafanya hizo kazi,ma radiographer ndio wanaofanya kazi za x rays,ultra sound na kazi nyengine related hospital zote tanzania..
kwanza jua RTT hawajishughulishi na x-ray, ultra sound, ct scan wala MRI wao ni radiotion therapists hawako kwenye diagnosis. wanaotumia hizo mashine wamesoma diploma inaitwa DDR ambayo degree yake Tanzania hamna. hukuelewa swali la mtooa mada.
soko lake ni gumu sana maana ni ocean road tu. sijui walioanzisha hii kozi walikuwa na akili gani?
Physiotherapy inadeal kwenye hospital kubwa sana sana kuanzia mkoa na za rufaa, Radiology zinacheza kwenye hospital zote mara nyingine mpaka dispensary, so wigo mpana upo kwenye Radiology hususani kwenye ajiraKati ya physiotherapy na radiology in diploma, ipi ina soko kwa sasa tanzania?