MSAADA.. Course ya HYDROGEOLOGY. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA.. Course ya HYDROGEOLOGY.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Aaron, Aug 18, 2012.

 1. A

  Aaron JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,121
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  kwa yeyote mwenye ufahamu wa kazi hii au aliyesoma/anayesoma anisaidie ajira zake..uzuri wake,ugumu wake..pamoja na changamoto zake.
   
 2. B

  BONANJE Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana kimbilia hiyo kozi ni nzuri,haina changamoto nyingi kwenye ajira,kazi ni nyingi sana.Vilevile hata ktk usomaji wake kama ulifaulu vizuri ni kawaida tu nyie ndio wataalam wa utafiti wa maji chini ya ardhi miamba na ukandarac wa visima vya maji.ni bataaaa tuuuuu,kozi ipo chuo cha rasilimali za maji tu dsm.
   
 3. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  piga kazi kijana, hiyo kozi ni nzuri sana hasa pale unapopata nafasi ya kukaa mahala kwenye mfereji-- changamoto kwa kazi hii ni ngumu kupata kazi kutokana na mwamko mdogo wa watu katika kutumia maji ya ardhini lakini within 10 years to come nakuhakikishia kuwa itakuwa hot cake!!

  Cha msingi--- Live your dreams not what others are doing or think--!
   
 4. cement

  cement JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamaa yangu kasoma coz hy toka 2008 hadi leo yupo nyumbani anapata reseach tu mkuu
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Wacha umang'aa wewe
   
Loading...