Msaada Courier gani yupo fair?

Msaada Courier gani yupo fair?

blakafro

Senior Member
Joined
May 1, 2014
Posts
164
Reaction score
112
Habari wana ndugu, msaada jamani courier gani yupo fair upande wa bei (ukizingatia na muda pia wa mzigo kuwahi kufika), kuna envelope yangu nataka kuituma itoke USA to Tanzania, mwenywe experience na hii kitu msaada tafadhali?
 
Back
Top Bottom