Msaada: Convert vlc to window media player | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Convert vlc to window media player

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by GAMBLER, Jul 30, 2012.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wa ndugu nimekwama, naomba msaada wenu, vipi nitaweza kubadili file la video liko ktk vlc na

  kuwa window media player
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kama file la vlc waa la windows media player, zote ni program zenye uwezo wa kufungua video files za aina mbali mbali, kama unataka kuifungua na Windows Media player basi right click chagua Open With.. Kisha chagua Windows Media Player. Au fungua windows media player nenda File.. Open na ifungue hiyo file, kama WMP ina uwezo wa kuifungua itaicheza.
   
 3. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  sijamsoma vizuri...........labda anamaanisha zile file ambazo haziko supported na wmp kama vile flv file etc
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  na mimi nilihisi anataka kusema flv akasema vlc...ingawa bado vlc inaweza kufungua flv files...labda kama iwe corrupted!!
   
 5. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Download foxtab video converter itakuwa imesolve na maswali ambayo hukuuliza, na nyie mnaojifanya hamjaelewa haya m-download hiyo program ni free ware.
   
 6. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  VLC haina kwere mkuu !!!
  kasema anataka kufungua kwa WMP mkuu maana kila m2 ana chaguo lake...kuna wale wa kmp,winamp etc
   
 7. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  yaan huyo nlivyo muelewa n kwamba vdeo zake zmeweka icon ya vcl so akiplay tu moja kwa moja inaplay via vcl alkua anataka a change i con ile...
   
 8. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko sawa sawa mkuu......iko ktk flv na wmp haisapport......nifanye nini?
   
 9. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu sawa ni flv iwe ina play kwenye wmp......inanajibu hivi:..............

  Windows Media Player cannot play the file. The Player might not support the file type or might not support the codec that was used to compress the file.
   
 10. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama case ni hiyo basi option hizi zinakufaa GAMBLER,
  1. right click video file
  2. properties
  3. Kuna sehemu ya open with (change)
  4. then chagua propgram unayotaka.

  usiogope kujaribu jaribu, maana najua hiyo ni sehemu ya maisha yako "gambler".
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu sawa ni flv iwe ina play kwenye wmp......inanajibu hivi:..............

  Windows Media Player cannot play the file. The Player might not support the file type or might not support the codec that was used to compress the file.
   
 12. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  unachosema ni kweli, wmp haiwezi kuplay flv mpaka uinstall codecs zake au upadate hiyo wmp to latest version...flv inaweza kuchezwa na player nyingi tu nyinginezo lakini sio wmp at default!!
  kwa kukusaidia chek hizi link:
  Media Player Codec Pack for Microsoft Windows

  Download Codec Pack All-In-1 6.0.3.0 - FileHippo.com

  na nyingine nyingi tu uki search google!!
   
 13. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nafikiri tatizo lake liko katika format - ni bora ali convert file kwenda mpg - litafunguka katika player zilizo nyingi ikiwemo WMP. FormatFactory ni nzuri katika kufanya conversions.
   
Loading...