Msaada: Control Number ya Uhamiaji

Joined
Jun 19, 2017
Posts
30
Reaction score
18
Control number ni ipi hiyo jamani wanayoitaka ukiwa ukiwa unafanya malipo ya awali ya passport (Hati ya Kusafiria) kupitia MPESA. Unaipata wapi?
 
Control number ni ipi hiyo jamani wanayoitaka ukiwa ukiwa unafanya malipo ya awali ya passport (Hati ya Kusafiria) kupitia MPESA. Unaipata wapi?
Wanazngua hao wanatak vitu ving kama unaomba mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…