LovelyLoveness
Member
- Nov 12, 2013
- 29
- 16
Habari za zenu wakuu,
Tafadhali mwenye kujua jinsi ya kuview contact zote kwenye HTC anielekeze.
Manake kuna namba nyingi za watu nishasevu bt nikitaka kuwapigia sizioni kwenye phone book, ila wao wakinipigia majina yana display. Sasa sielewi hizi namba zinakuwa zimejisave wapi?!
Msaada tafadhali.