msaada:configuration za internet katika nokia za kichina

damcon

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
214
72
wakuu heshima yenu,please mwenye configuration za internet katika nokia za kichina N9
 
Just call 100 to customer care and then ask for internet an MMS configuration..ie WAP settings.
 
Na mie nina tatizo same, yangu ni Nokia C3-0, Network Configuration imegoma, M- Pesa nikiuliza salio inanipa lakini siwezi tuma pesa, Luku siwezi nunua mpaka nibadili handset
 
Simu zote za kichina zinakubari hii lakini kwa voda
Tuma wap nokia 6030 kwenda 15300 watakuunga haijalishi watumia mchina gani
 
Jaribu kutuma hyo wap nokia 6030 then upate configuration then weka line ya airtel{ambayo imesajiliwa intanet} try to surf,mana me kuna simu with voda conf but natumia line ya airtel
 
Kama unatumia voda inakubali bila shida hebu test kujaza hivi

1-security........
2-user name/password........
3-APN wap
4-gate way/ip adress 010.154.000.008
5-gateway port 9401
6-rename vodacom WAP
7-set as home page vodacom.Co.Tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom