Wadau naombeni msaada black berry yangu imegoma kufungua internet! Wanasema mpaka niweke izo setting na mi sina utaalamu nayo! Natumia line ya tigo!
jaribu kwenda option then advanced option then TCP/IP kisha chagua APN setting na weka Internet kwenye APN kisha rudi nyuma na chagua Host Routing Table kisha option na chagua Register now, halafu restart simu, unaweza kufanikiwa kubrowse ila kama unataka kufungua messenger inabidi ujiunge na bb bundle