Hello Wanabodi!
Tafadhali naombeni msaada wa namna ya kutengeneza an "online registration form" for a scientific conference. Nahitaji watu wafanye registration online halafu wapate auto-reply to confirm kwamba wamefanya registration.
Wakuu nianzie wapi? Naombeni msaada coz site mbalimbali nilizotembelea wanataka pesa ndefu tu halafu kama vile wao wanakuwa ndio wana-monitor mambo yote
Please saidieni wandugu