bunyebunye
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 530
- 677
Wakuu habari ya jioni,
Naombeni wataalam wa computer mnisaidie, computer yangu imegoma kabisa kupost chochote facebook, niki log in kwenye account yoyote fb inanipa uwanja wa kupost status, lakini nikianza kuandika ule uwanja unapotea, nimejaribu kwa account tofauti lakini tatizo bado liko pale pale. nikajua labda tatizo litakuwa kwenye browser, nikatumia browser nyingine tena tatizo likawa kama kwenye browser ya kwanza, lakini nikijaribu kwenye simu inakubali kupost bila tatizo hilo.
Naombeni wajuvi wa haya mambo mnisaidie kutatua tatizo hili, maana limenikwamisha shughuli zangu za ku share habari za blog yangu.
Nawasilisha