Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,330
- 6,116
salaaaaaam,
naombeni msaada wenu jamani, nina laptop dell inspiron 15-3537 tatizo lake inastack sana na pointer ya mouse ina blink muda wote hata kama hamna program nyingi zinazorun kwa muda huo.
inaniletea message hii kila muda
nimetumia window basic theme lakini bado tatizo lipo pale pale, mara ya kwanza ilikuwa na windows 8.1 ambapo tatizo lilianzia lakini nimefanya clean installation ya windows 7 tatizo bado lipo pale pale. yaani kuna muda nashidwa kufanya chochote kwa jinsi inavyostack. nimechek display adapter status yake 'this device is working properly''
nilijaribu settings za visual effects lakini bado tatizo lipo pale pale
naombeni msaada nini cha kufanya kwenye pc hii kama tatizo ni hardware au nini?