Msaada:- Computer imegoma kuwaka baada ya installation ya scanner SW

Msaada:- Computer imegoma kuwaka baada ya installation ya scanner SW

Asanteni wakuu.
Nimeiacha, ntaishughulikia kesho. Yaani i'm puzzled!!

Cha muhimu mkuu ni kuingia kwenye setup kwanza na kuhakikisha kwamba BIOS inaona Primary Drive yako, alafu angalia ni sequences zipi BIOS inafuata wakati inatafuta media hipi yenye OS ya ku-load kwenye memory. Hakikisha media zote BIOS inaziona, vile vile hakikisha IDE/sata/scuzzy cables ziko properly plugged kwenye drive yenyewe na motherboard, usisahau vile vile power cable zinazo energize drive zenyewe ziwe firmly plugged kwenye drive - ni vizuri kutoa drive yenyewe nje ya computer ikiwa imefungwa controller(IDE) yake na power hili pindi hukiwasha uweze kusikia kama drive ina-spin au la, kama drive haizunguki kwa kasi ukawa unasikia sauti ya kwenda mbele na kurudi nyuma vile "something akeen to on and off" basi ujuwe hiyo drive ni mbovu unapashwa ku-replace na nyigine.Unaweza kuchukuwa drive nyingine unayojuwa hiko okay na kujaribu ku-boot hili kujiridhisha kwamba tatizo lilikuwa ni drive, kama drive hiko okay basi ifunge kama slave na kutumia primary drive ( yenye OS ya windows ?) ambayo haina driver za SCANNER. Hiyo primary drive ndiyo uhitumie kuondoa driver za scanner kwenye slave yenye matatizo, ukisha kamilisha hilo funga Slave yako kama Primary na tatizo litakuwa limepatiwa ufumbuzi.

Heshima kwenu wakuu wa kazi,

Nashukuru kwa maoni yenu mengi ya msaada. Nafurahi kuwajulisha kwamba pc imepona na sasa inapiga kazi kama kawaida. Nilichofanya? Hakuna!! Ila jana baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila mafanikio, nliamua tu kuiacha hiyo pc ili leo niishughulikie. Kusema kweli hata haijanisumbua kama nlivokuwa nimeiandaa. Nimeiwasha ikawaka vizuri tu na scanner pia ikafanya kazi. Nahisi ilichanganyikiwa kidogo ikawa inahitaji muda wa kujipanga upya. Labda na mimi nilikurupuka tu, hata celewi!!!

Anyway..... Asanteni tena & nawatakia siku njema.

FK

How is this possible! after all this machine is not a living thing - come clean and tell members what happened exactly.

Back
Top Bottom