Msaada:- Computer imegoma kuwaka baada ya installation ya scanner SW | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:- Computer imegoma kuwaka baada ya installation ya scanner SW

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by futikamba, Sep 13, 2011.

 1. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu habari ya leo,
  Jamani embu nisaidieni.

  Nimenunua scanner aina ya canon na kufanya installation kwenye PC yangu yenye windows XP proffessional. Nimemaliza installation vizuri tu ila baada ya kuchomeka hiyo scanner, computer yangu ikabadilika rangi kuwa black alfu inakuwa kama unapowasha PC kutoka kwenye CD. Yaani inaleta kale kadesh kale!!!
  Nimejaribu ku-restart lakini hali ni hiyo hiyo, hata ile kufikia kwenye Windows XP logo haifiki. Nimejaribu basi kuweka cd ya XP ili kama ni tatizo la SoftWare nifanye repair, haitaki hata ku-boot kutoka kwenye CD. Kuna mtu keshakutana na Tatizo kama hili? Nisaidieni, manake PC yenyewe ni ya cafe kwa watu asee, wateja wakikosa huduma itakula kwangu wakuu.

  Msaada wa haraka unahitajika jamani!!!
  FK
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu jaribu kuingia via safe mode halafu nenda control panel ku-remove ile program au driver ya scanner halafu restart your computer,,inawezekana hiyo driver ya scanner inashindwa jufanya kazi na pc yako
   
 3. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaani mkuu sioni hata maandishi,
  Nimejaribu kuingia kwenye windows startup advanced options imegoma mazima, ikishatoka tu ile nembo ya Dell, sioni maandishi mengine zaidi ya hicho kidesh desh
  Sasa sijui ni kwamba imechanganyikiwa niichunie kwanza au nd'o imekufa kabisa!!! Hata sielewi..
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu jaribu ku-repair window
   
 5. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaani mkuu....
  PC yenyewe ni Dell P4. Nikiweka cd ya XP ili kui-boost from CD, inaleta tu kwanza yale maandishi ya Dell alafu inagomea hapo. Nimejaribu kwenda kwenye boot options (F12) sioni kitu, Set-up options (F2) nako Holla!! Yaani naona kale kadesh tu!!
  Mpaka hapo sijui kama umenielwa bossy wangu!?
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  fungua computer case,remover ram,halafu disconect hdd,,halafu iwashe ikiwa haina ram wala hdd,utasikia sauti inatoka ndani ta motherbord,baada ya hapo zima pc rudisha ram halafu washa tena utaniambia nini kimetokea
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Umejaribu kuchomoa scanner kisha kuwasha?
   
 8. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndio babakeee... Hayo nayosema nd'o matokeo still baada ya kufanya yote hayo!!
   
 9. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sawa bossy wangu,
  Nitajaribu hivo. Vp nikichomoa C-Mos battery na kuirudishia, c itakuwa imeharibu memory pia?
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nafikiri cms got nothing to do with it,swala computer iweze ku-boot ili uweze ku-remove ili driver ya scanner au ufanye win repair,,cmoc batter inasaidia ku-keep computer yako hai
  ushauri niliokupa ndio solution
   
 11. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sawa bossy wangu,
  Nimeshafungua ngoja nitakupa majibu sasa hivi..
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Sioni software ya Windows itakuzuiaje kufika kwenye boot menu, Windows inakuwa haijaload bado.
  Pia sioni kuchomoa RAM kutakusaidia nini, RAM inapoteza kila kitu ukizima PC. Mwambie bosi PC imeharibika utaifanyia kazi, sio suala la kupanic hili.
   
 13. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  mkuu driver aliyoinstall inaweza kuwa imecorrupt operating system somehow,kuondoa ram na kujaribu kuwasha bila ram inaweza kukusaidia kujua kama motherbod imekufa au iko hai,kama ni mtundu hakuna haja ya kukimbiliia kwa boss,ni vema tujitahidi kuwa wabunifu
   
 14. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh!!
  Nimeichomeka to kwenye power ikanipigia beep f'lani hivi. Nimewasha haiwaki!!
   
 15. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu bado tatizo liko pale pale kama mwanzo!!!
  Inawezekana HDD au motherboard imekufa?
   
 16. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu ile bip iliyopiga ni kwa sababu uliondoa memory na pale tulitaka ku-test motherboadr,hdd ikifa haiwezi kuzuia kumputer kuwaka,ok umecheck vga card?inawezekana inawaka lakini hakuna display kwa sbabu ya graphic card,kama vga card haipo onboard jaribu kupata nyingine na kuichomeka pale pci slot uone,anyway wengine watakuja kusaidia zaidi
   
 17. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa kama Ni VGA card, mbona kabla iliwaka fresh mkuu?!
  Duh! Kimbembe..
   
 18. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Soma manual ya hiyo dell online. Sasa hujataj Model ya PC na hata scanner kukusadiia kugoogle inakuwa kazi ...... Kwenye manual soma sehemu ya Troubleshoting. Mara nyingi ziko mwishoni.

  Labda kuna jinsi ya kufanya Hot booot au some sort techniqie troubeshtiing.

  Au jaribu kudisconnect hard disk na na baadae hata RAM uone ita behave vipi ukiiwasha. itavyobehave wakati umedisconet itakupa clue nini kinaweza kuwa tatiz o
   
 19. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  mkuu naikubali hii idea kwa sababu ya exprience
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yes na pia tukianagali computer boot pocess kama haionyeshi kitu kabisa hata BIOS haiload basi kuna tatizo. Inawezekana hiyo scannaer imerrupt VGA kama alivyosema mdau au hata chipset za motherboard . Kwa kucheki flow chart hii

  [​IMG]
  For more info cheki hapa Computer Repair Flowchart
   
Loading...