A Abdulbastwa Member Joined Jul 24, 2012 Posts 22 Reaction score 2 Nov 1, 2014 #1 Habari waungwana. Naomba mwenye taarifa 2juzane. Tbc walitanangaza nafac tofaut ikiwemo system analyst II, wiki iloisha waliita kwa usaili kada zingine kupitia utmishi ila hii sikuiona. Vp kwani walishaitwa usaili? Taarifa pls.
Habari waungwana. Naomba mwenye taarifa 2juzane. Tbc walitanangaza nafac tofaut ikiwemo system analyst II, wiki iloisha waliita kwa usaili kada zingine kupitia utmishi ila hii sikuiona. Vp kwani walishaitwa usaili? Taarifa pls.
Priddim Senior Member Joined Sep 25, 2014 Posts 156 Reaction score 37 Nov 1, 2014 #2 Duh,pole sana mkuu endelea kusubiri.