Msaada: computa imezima!!!

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
877
Points
0

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
877 0
Wakuu naomba mnisaidie. Computer yangu juzi usiku ilizima ghafla wakati nikiitumia.
Ilikuwa hivi, nilikuwa natumia kutyp kazi yangu, nikataka kufungua file jingine ambalo nalo ni microsoft word (ila nadhani ndio lilikuwa na virus au vinginevyo). Hapo ndipo ikazima na haijawaka tena.
Kila ninapoiwasha, taa zinawaka kwa kukata (bliking) kwa mara tatu kisha zinazima kabisa.
Kompyuta yenyewe ni aina ya DELL laptop, model number PP08L.
Naombeni msaada wenu kuirudhsha katika hali ya kawaida. Pia hofu yangu ni kupoteza docs zangu.
Nifanyeje?
Nawasilisha
 

Forum statistics

Threads 1,355,835
Members 518,774
Posts 33,121,299
Top