Msaada- collage suggestion

Msaada- collage suggestion

Kaka mim nikushauri, usaili umefungwa jana ila wew unaweza kwenda nacte ikiwezekana na vyeti vyako ujaribu kuwaelezea ulishindwa kufanya usaili kwa wakati kwa sababu ya ukosefu wa pesa na sababu nyingine ambazo unafhan unaweza kujitetea naamin wakiwa waungwana wanaweza kukuruhusu ukaapply palepale kwao. Usikate tamaa jaribu mpaka uone imeshindikana kabisa kiongoz. Ila usisahau kwenda na pesa ili kama ukikubaliwa unalipia na kuapply kabisa.
 
Kama kwenda chuo imeshindika Fanya mpango wa kwenda advance level but private school wanaweza kukuchukua
 
Wakuu naomben msaada wenu juu ya vyuo gan naweza kwenda baada ya mipango yangu ya kwenda advance kutoielewa, nimemalza 4 last year with DIV 3 of 24 bt ckubalance comb

Chuo ambacho bado unaweza kufanya application ni sokoine university hawa hadi trh 31 mwezi wa 8, so ingia kwenye website yao uangalie ni course gani za diploma wanazotoa na vigezo vyao, km utazipenda utume maombi
 
Eh bhana upo njema kwa sifa tena unaweza anza straight diploma. Sio lazma upige mwaka wa cheti ule, sema sasa time ishakutupa nadhani...try kwenda vyuoni direct. Ulikuwa unatazamia kusoma kitu gani kipindi ukifika chuo?
 
Kaka mim nikushauri, usaili umefungwa jana ila wew unaweza kwenda nacte ikiwezekana na vyeti vyako ujaribu kuwaelezea ulishindwa kufanya usaili kwa wakati kwa sababu ya ukosefu wa pesa na sababu nyingine ambazo unafhan unaweza kujitetea naamin wakiwa waungwana wanaweza kukuruhusu ukaapply palepale kwao. Usikate tamaa jaribu mpaka uone imeshindikana kabisa kiongoz. Ila usisahau kwenda na pesa ili kama ukikubaliwa unalipia na kuapply kabisa.
Sh ngap kuapply?
 
Chuo ambacho bado unaweza kufanya application ni sokoine university hawa hadi trh 31 mwezi wa 8, so ingia kwenye website yao uangalie ni course gani za diploma wanazotoa na vigezo vyao, km utazipenda utume maombi
Kipo wap hicho?
 
Sokoine iko Morogoro, tatizo ni chuo cha kilimo hivyo science inahusika mno.
 
Y

yap, inawezekana kabisa mkuu na mi ndio napiga hio sasahivi, kama haujali kusomea mbali na Dar waweza cheki Mzumbe hapo Morogoro ama MoCU kipo moshi. Hivi vyuo mazingira yake ni mazuri sana kwa kusomea kozi za biashara.
Nipo ifakara, naona nijarbu mzumbe
 
Back
Top Bottom