Msaada- collage suggestion

Msaada- collage suggestion

iddy eba

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
573
Reaction score
1,176
Wakuu naomben msaada wenu juu ya vyuo gan naweza kwenda baada ya mipango yangu ya kwenda advance kutoielewa, nimemalza 4 last year with DIV 3 of 24 bt ckubalance comb
 
Wakuu naomben msaada wenu juu ya vyuo gan naweza kwenda baada ya mipango yangu ya kwenda advance kutoielewa, nimemalza 4 last year with DIV 4 of 24 bt ckubalance comb
mmmmmh mbona umechelewa sasa mpaka nacte wameshafunga dirisha la udahil kwa certificate na diploma
 
Collage ndo nini?

Weka ufaulu wako hapa na kozi ambazo ungependa kusoma Ushauriwe vyuo vya kwenda.

Division 4 ulitegemea uende Advance? Duuuuh!
 
Collage ndo nini?

Weka ufaulu wako hapa na kozi ambazo ungependa kusoma Ushauriwe vyuo vya kwenda.

Division 4 ulitegemea uende Advance? Duuuuh!
Cjui course gan znatolewa coz ckujpanga kwenda chuo,
But ufaulu wang ni:-
HIST D
GEO D
CIV D
MATH C
ENG C
KISW C
BIO C
 
Dah, hakuna njia nyngne?
Unaweza kwenda kwenye chuo husika ukawaeleze hilo swala lako.
Naamin watakusaidia na watakupa namna bora ya kujiunga na wao.
Mkuu c unajua tz hii unaweza kupita ata kimagendo ukapga pind lako
 
Unaweza kwenda kwenye chuo husika ukawaeleze hilo swala lako.
Naamin watakusaidia na watakupa namna bora ya kujiunga na wao.
Mkuu c unajua tz hii unaweza kupita ata kimagendo ukapga pind lako
Chuo gan kwa mfano
 
zamani ilikua ukichelewa unaenda chuoni then kama unavigezo vya kusoma kozi husika wanapeleka jina lako nacte,kwasasa nahisi utaratibu utakua umebadilika..jalibu hiyo uone
 
Kwa marks zako hizo kwani private schools hawawezi kukuchukua ukaendelea na advance level kama unavyotaka.
 
Back
Top Bottom