wakati unainunua ilikuwaje? na kwanini usirudi ulipoinunua?Isssue ukitaka kumuuzia mtu mkuu anaweza jua fake kama sio mjuzi wa,sim
",,ok mkuu thanks ila wengi ndiyo tumeshazoea hivyo lazima tucheki code ndiyo tatizo linapokuwepo1. code zinatokana na software, ulizoziweka jana zinaweza kataa leo uki update software.
2. code hazitumiki kuangalia u original wa simu sababu wachina nao pia wanaziweka kirahisi tu.
kama unataka kumthibitishia kama ni original download cpu z toka store umlinganishie hardware zake na za gsmarena.
taja model ya hio s7",,ok mkuu thanks ila wengi ndiyo tumeshazoea hivyo lazima tucheki code ndiyo tatizo linapokuwepo
Pia itakuambia model wa simu yako,rangi ya simu,storage, ram. N.k(nimeshindwa kufikiri).Pigs *#0808#, *#1234#, *#7535# zirasoma na ikiwa hazisomi duh.
Ikiwa ni original(genius) utajua fanya hivi.
Pakua kwa search PHONE INFO SAMSUNG kupitia play store yako app ya mwanzo install to your phone. Halaf open it ukishaifungua itakuonesha sehem ilipotengezwa kama ni China au Korea ama Vietnam press kulia kwenda kushoto kuna maelezo yanayohusu simu yako yote mfano umechaji kwa muda gani. Halafu pia upande wa juu kushotoni kuna vistar vitatu vibonysze hivo kuna neno limeandikwa refurbishment....
Libonyeze hilo subiri kama second chache hapo itakuambia CONGRATULATIONS your phne is original na ikiwa sio niyakuchakachuliwa itakuambia pia.
Sikueleza yote maana ni mengi kueleza wewe ndio utajisomea huko.
Nimecheck mkuu wameniambia ni original mkuu thanksPigs *#0808#, *#1234#, *#7535# zirasoma na ikiwa hazisomi duh.
Ikiwa ni original(genius) utajua fanya hivi.
Pakua kwa search PHONE INFO SAMSUNG kupitia play store yako app ya mwanzo install to your phone. Halaf open it ukishaifungua itakuonesha sehem ilipotengezwa kama ni China au Korea ama Vietnam press kulia kwenda kushoto kuna maelezo yanayohusu simu yako yote mfano umechaji kwa muda gani. Halafu pia upande wa juu kushotoni kuna vistar vitatu vibonysze hivo kuna neno limeandikwa refurbishment....
Libonyeze hilo subiri kama second chache hapo itakuambia CONGRATULATIONS your phne is original na ikiwa sio niyakuchakachuliwa itakuambia pia.
Sikueleza yote maana ni mengi kueleza wewe ndio utajisomea huko.
Rangi ya simu inakuepo ikiwa ni black au white iangalie tu na origin country ilipotoka pia itakuambia mfano ikiwa imeandikwa Taiwan kwenye kibandiko cha simu basi kwenye hiyo app itakuambia sahihi.Hapo kwenye rangi sijaona mkuu ila model wamenionesha