Kwa anayejua trend nzma ya cisco ansaidie. Kwanza nahtaj kujua gharama ya pepa zao, pili ni lazma kuwa na review center .? Tatu mitihan yao huwa inafanyika kpnd gan cha mwaka, na mwisho ni kituo gan kina cost afadhal/nafuu kulko vngne.?
Bei inategemea na mtihani, lazima ufanye Cisco Testing Center, bongo ni:
Institute For Information Technology
Techno Brain Limited
Unique Training Centre
University Computing Center Ltd
Kuhusu certifications gonga hapo IT Certification - Cisco - Cisco Systems
cost ya exams za CISCO ni moja dunia Nzima ingawa gharama za Training zinatofautiana kutoka Institute moja na nyingine.