Msaada:channels za continental kwenye azam

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
314
Reaction score
151
habari wadau.
kuna mtu kaniambia kuwa kuna frequency ukiingiza katika kin'gamuz cha azam na ukabadili muelekeo kidogo wa dish unadaka channels zote za cntinental,sasa alisahau kunipa frequency hizo.kama kuna mtu anazo naomba ani pm.
 
Huna no yake ya cm?
 
namba alinipa,ila sasa hapatikani wiki sasa inakatika
 
habari wadau.
kuna mtu kaniambia kuwa kuna frequency ukiingiza katika kin'gamuz cha azam na ukabadili muelekeo kidogo wa dish unadaka channels zote za cntinental,sasa alisahau kunipa frequency hizo.kama kuna mtu anazo naomba ani pm.

Frequency ni 11138v symb 30000 kazi kwako
 
habari wadau.
kuna mtu kaniambia kuwa kuna frequency ukiingiza katika kin'gamuz cha azam na ukabadili muelekeo kidogo wa dish unadaka channels zote za cntinental,sasa alisahau kunipa frequency hizo.kama kuna mtu anazo naomba ani pm.

Channel za continental ni kama zp mkuu?
 
Weka FM ama SW kisha nyoosha antenna hadi mwisho utanasa hadi za DSTV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…