MSAADA:CHANGAMOTO ZA KUFUNDISHA COLLEGE

MSAADA:CHANGAMOTO ZA KUFUNDISHA COLLEGE

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,650
Reaction score
3,656
Mimi ni kijana wa mwaka wa kwanza nnasomea bachelor of education in PPM.NIMEPATA NAFASI YA KUFANYA TEACHING PRACTICE KATIKA CHUO CHA UALIMU MOSHI.
NNAMINI WAZOEFU WAKO HUKU NINGEOMBA MNISAIDIE
UZOEFU WENU NA CHANGAMOTO KWA AMBAO MNAFUNDISHA ,AU MLISHAFUNDISHA KATIKA VYUO HVYO AMBAVYO NI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA.KWA FAIDA YANGU NA WENGINE
 
Ww ni mwalimu mpaka unapelekwa huko unafit jiamini utaweza woga wako na kushindwa kujiamini ndiyo changamoto otherwise no challenge.
 
Back
Top Bottom