RIC WA KISHETI
Member
- Jun 30, 2015
- 38
- 14
Wadau wote wenye uelewa kuhusu Nobel professional ya law tunaomba kupata dondoo zote muhimu kuhusu changamoto,mbinu na namna ya kuweza kufaulu faculty hii ngumu ya law.
Natanguliza shukrani zangu za dhati nikisubiri miongozo yenu wadau..
Natanguliza shukrani zangu za dhati nikisubiri miongozo yenu wadau..