Salamu wana JF, ninaomba kujua kwa mtumiaji wa decoda ya DIGITEK. Ni channel zipi zinazopatikana? Maana me sijui kabisa :A S 39: Natanguliza Shukrani..
Wanatumia channel moja tu kati ya tatu walizopewa kwa dar. Channel 23 ya 490Mhz yenye
program 15 za TV ambazo ni
ITV
EATV
Capital TV
TBC
Star TV - Africa
CH 10
Clouds TV
Citizen TY
Emmanuel TV
Africa TV - Swahili
LoveWorld
Arirang
NHK Japan
CCTV 9
Al Jazeera
na ongeza program 10 za radio ambazo ni
Radio One Sterio
East Africa Radio
Capital Radio
TBC Radio
Kiss FM
Radio Free Africa
Clouds FM
Citizen Radio
City FM
Magic FM
Huu ndii ustaarabu wa Jf tunaoutaka. Sio hao hapo juu wanajibu hovyo hovyo tu. Big up mkuu kwa majibu yaliyotukuka.