Msaada, chaneli inayoonesha "Top 20" ya muziki Startimes

Msaada, chaneli inayoonesha "Top 20" ya muziki Startimes

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Kwanza napenda niwapongeze 'Startimes' kwa kuiondosha kabisa chaneli namba 322 kwenye king'amuzi chao ambayo ilifahamika kwa St SA Music na kubadilishwa kusomeka St Kasi Music.
Chaneli hii ilikuwa burudani tosha kwa wale wapenda muziki hasa wa Afrika Kusini na siku ya jumamosi walikuwa na kupindi cha 'Top 20' kuanzia saa mbili usiku.
Tarehe 03/10/2024 nikapokea ujumbe huu "MPENDWA MTEJA, TUNAOMBA RADHI KUTOKANA NA TATIZO LA KUKATIKA KWA MATANGAZO. MAFUNDI WETU WANALISHUGHULIKIA NASI TUTAFIDIA MUDA ULIOKOSA HUDUMA. ENDELEA KUWA NASI" ndipo tatizo likaanzia hapo.
Chaneli ikawa sio 'live'.
Niliwapigia si mara moja kuwalalamikia baadae wameamua kuiondosha kabisa.
Ukweli nakosa burdan ya miziki ya SA hasa 'Top 20'.
Tafadhari, mwenye king'amuzi cha Startimes anaefahamu chaneli inayoonesha miziki ya Sauzi anijuze.
 
Back
Top Bottom