Msaada: Card ya Benki inayokubari Kufanya Malipo Alibaba

KULKID

Member
Sep 16, 2016
26
14
Habari wapendwa,
Hivi karibuni nili place oder Alibaba
Lakini tatizo limekuja kwenye Kufanya Malipo,
Natumia DTB prepaid MasterCard
Ila kila nikifanya Malipo naambiwa payment Unsuccessful
Salio lipo la kutosha,
Ila sielewi nini shida.
So naomba msaada Kwa wale waliofanikiwa kufanya Malipo Alibaba hivi karibuni walitumia Benki gani mpaka kufanikiwa kufanya Malipo bila kukutana na Changamoto yoyote
Waweza nicheck Kwa haraka hapa

0787425459

Ahsante
Screenshot_20210209-164841.jpg
 
Njia rahisi kabisa ni Mpesa MasterCard..

Kwa upande wa card za bank ....Equity na Barclays hawatakuangusha.
Ahsante Hiyo ya Mpesa wengi wanalalamika sio nzuri
Nahitaji njia ya benki ndo Ipo sucured zaidi na ni uhakika
Ngoja nitajaribu Barclays Equity wameniambia hawana tawi huku Kwetu Tabora
 
Ahsante Hiyo ya Mpesa wengi wanalalamika sio nzuri
Nahitaji njia ya benki ndo Ipo sucured zaidi na ni uhakika
Ngoja nitajaribu Barclays Equity wameniambia hawana tawi huku Kwetu Tabora

Sawa Barclays nimewahi tumia, haijawahi sumbua hata siku moja!
 
Sawa Barclays nimewahi tumia, haijawahi sumbua hata siku moja!
Ahsante sana
Samahani naomba kukuuliza tena,
Mara ya mwisho kufanya Malipo ilikuwa ni Lini na Je Alibaba walikuambia Ku verify kadi yako Au Malipo yalikamilika moja Kwa moja baada tu ya kujaza details za kadi yako kwenye order uliyotakiwa kufanya payments?
 
Habari wapendwa,
Hivi karibuni nili place oder Alibaba
Lakini tatizo limekuja kwenye Kufanya Malipo,
Natumia DTB prepaid MasterCard
Ila kila nikifanya Malipo naambiwa payment Unsuccessful
Salio lipo la kutosha,
Ila sielewi nini shida.
So naomba msaada Kwa wale waliofanikiwa kufanya Malipo Alibaba hivi karibuni walitumia Benki gani mpaka kufanikiwa kufanya Malipo bila kukutana na Changamoto yoyote
Waweza nicheck Kwa haraka hapa

0787425459

Ahsante
View attachment 1699022
Mimi natumia Airtel master card
 
Mm nakushaur tumia mpesa mastercard nakama inabidi ulipe 65000 weka 70000 maana kuna makato
 
Ahsante Hiyo ya Mpesa wengi wanalalamika sio nzuri
Nahitaji njia ya benki ndo Ipo sucured zaidi na ni uhakika
Ngoja nitajaribu Barclays Equity wameniambia hawana tawi huku Kwetu Tabora
Mpesa master card miyeyusho Tu nishajarbu mara kibao inazingua , equity bank ndo wapo vizur , pamoja na bank ABC.... Bank zingine kero tupu
 
Hata NMB inakubali bila shida yoyote kama una kadi nenda bank kajaze fomu ya maninuzi online basi utaanza kufurahia kununua
 
Ulisha wahi lipia kupitia Nmb Kiongozi?
Ndiyo mkuu biadhaa yangu ya mwisho nilinunua kupitia NMB mwanzo nilikuwa Equity lakini kadi iliexpire nikaachana nayo.

Angalia sms
 
Attachments

  • IMG_20210210_181150_736.jpg
    IMG_20210210_181150_736.jpg
    200.6 KB · Views: 30
  • IMG_20210210_181157_167.jpg
    IMG_20210210_181157_167.jpg
    186.8 KB · Views: 27
  • IMG_20210210_181112_449.jpg
    IMG_20210210_181112_449.jpg
    102.8 KB · Views: 23
Back
Top Bottom