Heshima kwenu wakuu....
kila nikijaribu kupiga picha naambiwa"unfortunately your gallery has stopped" nimeclear cache kwenye both camera and gallery applications mpaka nikaflash simu lakini bado haikufunction,naomba Masada zaidi, natumia Gallaxy note 3.