Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 728
- 322
du maelezo gani tena si ugonge hapo kwa jamaa palipoaandikwa Vodacom Cheka InternetToa maelezo ya kutosha basi mkuu!
Hallo wadau,
naomba msaada nataka kujiunga na bundle ndogo kabisa ya internet ya vodacom , inaanzia na shillingi ngapi? nimeona airtel wao wako safi sana Tshs 2,500/= tu unapata MB400 mwezi mzima. naomba msaada kwa anayefahamu vodacom wao wamekaaje?
mkuu inategemea na matumizi ya watu...mi siipendi sana voda ila internet yao natumia vizuri tu...bomba 30 nikiweka tunatumia office nzima (zaidi ya watu 10) kwa pamoja(nimei feed into router) na nadowload games and muvies mpaka karibu 100GB kwa mwezi (juzi tu nimemeliza ku download fifa 11<6.3GB> baada ya kumaliza kudownload muvi kama tatu hivi za 2GB kila moja ingawa natumia torrents na zinatumiamda mrefu kidogo ila napata ninachokitaka na pamja na kuwa nadowload bado watu wengine wanapata net safi tu kwa shughuli zingine za kila siku bila tatizo lolote na speed ni saaafi tu tofauti na mitandao mengine ambayo unapewa kiasi flan cha bandwith na kikiisha you are doomed!!Jibu la kweli (Honest Answer) Ndugu yangu ni kuwa achana na Vodacom. Utakuja laumu Bure!. Have a nice browsing time! Won't you?
mkuu inategemea na matumizi ya watu...mi siipendi sana voda ila internet yao natumia vizuri tu...bomba 30 nikiweka tunatumia office nzima (zaidi ya watu 10) kwa pamoja(nimei feed into router) na nadowload games and muvies mpaka karibu 100GB kwa mwezi (juzi tu nimemeliza ku download fifa 11<6.3GB> baada ya kumaliza kudownload muvi kama tatu hivi za 2GB kila moja ingawa natumia torrents na zinatumiamda mrefu kidogo ila napata ninachokitaka na pamja na kuwa nadowload bado watu wengine wanapata net safi tu kwa shughuli zingine za kila siku bila tatizo lolote na speed ni saaafi tu tofauti na mitandao mengine ambayo unapewa kiasi flan cha bandwith na kikiisha you are doomed!!
nilisoma post humu humu kwamba hyo bomba 7 na 30 now ni limited download.? Inamaana sasa wameresume unlimited download data size kwa package hzo..?
kama anavyosema mdau hapa chininilisoma post humu humu kwamba hyo bomba 7 na 30 now ni limited download.? Inamaana sasa wameresume unlimited download data size kwa package hzo..?
Hakuna limit ila speed inashuka ukivuka liasi fulani.
na mara nyingi tu speed inazdi hata hiyo ya 64kbps...Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, voda ina afadhali. Kama una hofu na mambo ya bundle jaribu, bomba. Bomba 30 kwa mfano unapewa 2GB, ukimaliza unarudi kwenye 64kbps mpaka siku zako 30 ziishe. Hata hao TTCL wanaonekana nafuu wanatoa 2GB kwa mwezi bila nyongeza. Mwacheni ajaribu na kuona mwenyewe.
mkuu inategemea na matumizi ya watu...mi siipendi sana voda ila internet yao natumia vizuri tu...bomba 30 nikiweka tunatumia office nzima (zaidi ya watu 10) kwa pamoja(nimei feed into router) na nadowload games and muvies mpaka karibu 100GB kwa mwezi (juzi tu nimemeliza ku download fifa 11<6.3GB> baada ya kumaliza kudownload muvi kama tatu hivi za 2GB kila moja ingawa natumia torrents na zinatumiamda mrefu kidogo ila napata ninachokitaka na pamja na kuwa nadowload bado watu wengine wanapata net safi tu kwa shughuli zingine za kila siku bila tatizo lolote na speed ni saaafi tu tofauti na mitandao mengine ambayo unapewa kiasi flan cha bandwith na kikiisha you are doomed!!
but AM DOING IT NOW...natamani ningekuhakikishia hili...mkuu 128kbps haiwezi download hadi 100 gb kwa mwezi na ukiishare kwa watu kumi ndo kabisaaaa yani mmoja akidownload basi wengine hamtaweza hata fungua page. 128*8=1 ambayo ni sawa na 1mbps received data haiwezi ndugu.
Wakuu hivi hizi bundle za cheka si ni kwa mobile phone pekee?bundle ya chini kabisa kwa voda ni mb 20 ambayo ni shs 500 na unalipia kwa siku. Ila wana ya Mb 50 ambayo ni shs 2000 na ni siku 30.
Bonyeza *149*01# utapata maelezo ya kutosha.