Wakuu nilikuwa natumia ile trick ya bundle ya 400MB kwa shs 2500 lakini inagoma kwa sasa msaada tafadhali maana hizi nyingine ni balaa tupu
Natanguliza shukurani
Hii kitu nasikia kwa wale wateja waliotumiaga hii huduma mapema inakubali lakini wanaojaribu kwa sasa imezuiliwa mi bado nimo cheers 400mb per wani mansi