Msaada BSc in Geology vs BSc in Computer Science UDSM

Geology???? Mwenzio nasugua gaga na geology yangu kitaaan
Pole mdogo wangu. Umemaliza GY lini? Kuna changamoto sana GY as market yake inabadilika mara kwa mara. Ndani ya mwaka mmoja kuna wanaopasua na kuna wanaoumia. Kazi zinakua nyingi ghafla zinapotea ziiii. Na tatizo ni kubwa zaidi as kujiajiri inahitaji experience na network kubwa. Ukiwa na experience na network ya kutosha wigo unakua mpana sana. Ni mwendo wa consultancy; miezi miwili site and make 20-30,000USD unarudi kitaa mwezi, sometime miezi6! Kuna time unasota ila siku ukiipata u make most of it.

I did geology some 8yrs ago ila muda ukirudishwa nyuma niambiwe kuchagua kozi nitaichagua geology tena. I enjoy in this profession.

Mleta mada, nitakusahuri baadae kidogo. Sitakushauri uchague kozi gani ila nitakufunulia future(s) za njia hizo mbili. Utachagua mwenyewe
 
Dogo fanya usomee mambo ya land tu....ikiwa hutaki risks za kukaa bench kitaa. Katika taaluma za lands unaweza kuajiriwa ama kujiajiri....ni wewe utakavyoona inafaa.
 
Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na haya mambo ya elimu ya juu! Nimefanikiwa kupata principles advance level PCM (ABC=6PTS), nahitaji kusoma either of above mentioned programme hivyo mawazo yenu yatakuwa msaada tosha kwangu.

Nitashukuru kwa mawazo yenu na Mungu awabariki.
Duhh hii inatokea tu Tanzania mtu mpaka unachagua comb. ya kusoma advance na unamaliza shule hujui unachotaka kusoma... Sasa hapo unajua kwel utakuja kua nani?????
 
Duhh hii inatokea tu Tanzania mtu mpaka unachagua comb. ya kusoma advance na unamaliza shule hujui unachotaka kusoma... Sasa hapo unajua kwel utakuja kua nani?????
let me school you a bit!
am sorry for catch me not!it's not about who am i going to be! it's all about what am i going to get!Not everything happens to your country UNAONA KAMA MAIGIZO!wenzetu developed countries wanaendelea kwa sabab mostly wanapeana constructive supportive ideas yani wako civilized in almost every aspect.kama utakuwa umeishi kwenye baadhi ya hizo nchi naamini unakitu moyoni asking!
Nilidhani ungeshauri kitaaluma na kimaslahi baina ya hizo kozi mbili kama wazifaham ingeleta uhalisia zaidi kuliko kuonesha ni jinsi gani ulivyo.iv hujahi ona PCM/pcb anasoma accounts[kwan malengo ya pcm/pcb ni kuwa accountant?nimekupa mfano mdogo tu na wa aina hiyo wapo wengi tu duniani not only homeland tz]USIDHARAU NCHI YAKO WALA USIKATE TAMAA NA NCHI YAKO MAANA UKIZIDI KUWA WEAK NA NCHI YAKO YOU MAKE THEM STRONGER NA NCHI ZAO.tushauriane kwa mema bro am sorr kama nimekosea.mungu akupe amani na neema katk maisha yako.
 
Na mimi nimesema na nasema tena tuache kusoma kwa mazoea hujui unataka nn mbele. aliesoma PCM akajakuwa accountant nae ni mlemle kasoma amalize tu shule,Cha msingi tujijengee mazingira ya kuchagua na kupanga tutakachosoma tokea uko sekondar ili tusijekubahatisha katika elimu zetu...
 
Kama uko serious computer science is the most marketable programme ila jikite katika computer programming. Shida ya geology ukikosa ajira ni vigumu kujiajiri ila ukiwa na computer yako na skills za coding, utawatimulia vumbi wenzio
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom