Msaada:Bsc in Environmental Health ya Muhimbili

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,043
Reaction score
1,279
Habari wana Jf,kwa mwenye uelewa juu ya degree tajwa hapo juu,vipi market yake baada ya kuhitimu,na kazi zake ni maeneo gani...natamani mdogo wangu asome lakini mimi siifahamu,msaada tafadhari!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Alishaanza kuisoma?
 
Back
Top Bottom