Msaada brothers and sisters

Msaada brothers and sisters

Joined
Sep 9, 2019
Posts
17
Reaction score
4
Naombeni msaada kidogo wakuu...nimepangiwa IFM third round ambapo niliomba fuculty tatu TAXATION,INSUARANCE AND ACCOUNT..na majibu yamekuja kwamba you are sellected bachelor degree 2019/2020..TATIZO ni kwamba hawajaonyesha wamenipangia fuculty ipi na nimeshaconfirm..msaada wakuu kwa anaejua!
Screenshot_2019-09-20-21-37-04.png
 
Shukuru mungu umepata chuo kwanza. Mengine utajuaga taratibu tuu😎
 
Nimeshamshukuru mungu kaka nilichotaka kujua ni kwamba je hakuna tatizo lolote ikiwa hivyo..
Hapo sidhani kama kuna tatizo kijana. Huenda ikawa tatizo tu la server za hiyo system kwahiyo after muda fulani utaelewa. Mana lazima watakutumia joining instruction na admission letter..
 
Hapo sidhani kama kuna tatizo kijana. Huenda ikawa tatizo tu la server za hiyo system kwahiyo after muda fulani utaelewa. Mana lazima watakutumia joining instruction na admission letter..
Hapo kaka nimeshakuelewa kabisa ..asante maana kwa ninavyoelewa lazima adminsion letter ije na fuculty walionipa..si ndiyo kaka!!
 
Usipate tabu , ingia mtandaoni tafuta list ya applicants waliochsguliwa Ifm round ya 3.Jaribu www.ajiraleo.com ana updates nyingi za maswala hayo
 
Back
Top Bottom