SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,387
- 2,415
ujaeleza unatumia BB ipi?Mkuu,mbona niki update inakua 10.3.2.283,siipati hiyo 10.3.3.? Nafanyaje?
Anyway fanya automatic update ila kama haikubali fanya manual update.
ujaeleza unatumia BB ipi?Mkuu,mbona niki update inakua 10.3.2.283,siipati hiyo 10.3.3.? Nafanyaje?
Mi pia nnatatizo hilo natumia bb z3 lkn inakataa ku install google ac mng nifanyaje?ingia blackberry appworld , tafuta whatsapp fixer, tatizo litaisha
anaetengeneza simu za Android za Blackberry ni TCL na sio Blackberry wenyewe.
1. eka whatsapp ya kawaida ya android. unaipata website ya whatsapp au website kama apk mirror.habari mkuu, naomba msaada wa kuweka hiyo whatsapp inayotuma picha. thanks in advance
1. eka whatsapp ya kawaida ya android. unaipata website ya whatsapp au website kama apk mirror.
2. fuata step zote za kujisajili hadi ifanye kazi
3. nenda store ya blackberry kisha download app inaitwa whatsfixer itafanya app yako ya whatsapp ifanye kazi.
Chief Mungu akubaliki jana nimeshika bb ya jamaa angu dakika sifuri tu nikaweka kila kitu cha muhimu ,ubarikiwe sana1. eka whatsapp ya kawaida ya android. unaipata website ya whatsapp au website kama apk mirror.
2. fuata step zote za kujisajili hadi ifanye kazi
3. nenda store ya blackberry kisha download app inaitwa whatsfixer itafanya app yako ya whatsapp ifanye kazi.