Msaada: Blackberry Z10 kuinstall android apps

Msaada: Blackberry Z10 kuinstall android apps

Iko poa sana... hata hii Samsung haitii maguu.
Simu za blackberry zina muonekano wa kipekee. Huwa napenda sana simu zinazotumiwa na wachache km iphone, blackberry na window phone. Ktk simu huwa siikubali ni TECNO ni mara mia nitumie vodafone au Huawei
 
Kama amekwama kabisa,kuna njia niliwahi kuitumia. Kama una simu nyingine,download App ya kusend APP kwenye simu zingine kwa kutumia Bluetooth. Hiyo haijawahi kuniangusha. Sehemu moja tu ilinigomea na sijaweza,nayo ni Gmail,aisee hawa Blackberry ni kiboko. Na ni kutokana na mausumbufu haya,Whatasapp walitangaza kujitoa kwa simu za Bb kwa sababu ya hao Bb kugoma kuwa compatible kwenye mifumo ya Android. Ila nasikia kwa sasa Bb wamekubali kwa Android version. Jamaa ni vichomi sana
anaetengeneza simu za Android za Blackberry ni TCL na sio Blackberry wenyewe.
 
Simu za blackberry zina muonekano wa kipekee. Huwa napenda sana simu zinazotumiwa na wachache km iphone, blackberry na window phone. Ktk simu huwa siikubali ni TECNO ni mara mia nitumie vodafone au Huawei
well said, kama unataka kua unique go for Blackberries or Iphones naona hata HTC hawapo vibaya niliwahi kuwatumia mara mbili.

Mmh sijawahi hata kuwaza kama one day nitakuja kutumia Tecno, sijawahi kuzielewa zile simu.
 
Simu za blackberry zina muonekano wa kipekee. Huwa napenda sana simu zinazotumiwa na wachache km iphone, blackberry na window phone. Ktk simu huwa siikubali ni TECNO ni mara mia nitumie vodafone au Huawei
Kama uliingia kichwani mwangu. Huawei wako poa kuliko hao Tecno,sijawahi kuvutiwa nao hata mara moja. Ni simu ambazo zina kila kitu cha kisasa kama Camera nzuri sana,ila simu ya bei chee na iko too common
 
Walivyo wa hovyo,hata radio kwenye simu hawajaweka kabisa.
 
Kwanza kabisa unatakiwa ufanye update simu yako iwe Blackberry OS version 10.3.3.1463 baada ya hapo
kwa kutumia Blackberry yako Download izo file 4 ambazo link zipo hapo chini then install moja moja.
Kuanzia file no 2-3 unatakiwa ukishainstall tu login kwa kutumia gmail yako zikikubali umemaliza mchezo anza kula mambo ya google playstore.


1. com.google.android.gms-11.3.02-cobalt.apk

2.cobalt.blackberry.googleid-2.8.apk

3. com.google.android.gsf.login-4.3.3-cobalt.apk

4. com.android.vending-6.0.0-cobalt-build2.apk
Mkuu,mbona niki update inakua 10.3.2.283,siipati hiyo 10.3.3.1463? Nafanyaje?
 
Walivyo wa hovyo,hata radio kwenye simu hawajaweka kabisa.
Hahaha smartphones kama Samsung au hao Blackberry hawaweki radio siku hizi... una download mwenyewe eti unasikiliza radio online khaa mwanzo sikujua baadae nikaifutilia mbali.
 
Hahaha smartphones kama Samsung au hao Blackberry hawaweki radio siku hizi... una download mwenyewe eti unasikiliza radio online khaa mwanzo sikujua baadae nikaifutilia mbali.
Samsung wanaweka
 
Back
Top Bottom