hakuna browser nyingine yoyote
iyo tayari nimeshafanya pia nime wipe nikaingiza os nyingine lakini bado vilevile
Pole sana, fata ushauri wa wataalam wengine, mimi ujuzi wangu umeishia hapo.
weka model yako ya simu tuangalie software yake na bugs kama zipo fixed pia ukileta verison unaweza toa blackberry internet service ukawa unatumia bundle la kawaida na app world unaweza download kotoka kwenye official page